Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mpaka nimepaliwa mm nakuhakikishia tu anafika final
We muache...

England atakuwa mshindi wa 4

Transcend , huyu Shunie jana aliishiwa nguvu akalamba glucose lakini wapi.The only thing ilimpa nguvu ni lile goli la Brazil la dk za mwisho mwishoni.

Leo nnaona ametabasamu midomo inafika kwenye masikio 😀😀😀
 
Jana nilikuwa na mambo mengi...

Asubuhi ndio nimeemtafuta kumpa polee [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom