Binafsi nipo, nimepata leseni ya kuendesha bodaboda, hivyo siku JF ilipokuwa kifungoni was fanyaling mazoezi ya kuendesha.
Hujambo aunt yangu?
Makapuku wenzangu naimani maisha yanasonga.
Labda tu niwajulishe mjomba wangu
Lyon Lee aliteguliwa mbavu baada ya kudanganya anaenda kuangalia wedikapu siku ya Ijumaa, aunt yangu si wa mchezo mchezo, kapata tabu sana