mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Vigezo vipi na masharti yepi hayo?Tulizngatia vigezo na masharti
Vigezo vipi na masharti yepi hayo?Tulizngatia vigezo na masharti
Kama hivo mmebugi
HahahaaaaaaAmeen
Mbona baba mchungaji wako hasomeki jamani
Nabarikiwa mama MchungajiUnafurahi kweli
Glory to God, Glory to God....Ewaaaaa
HahahahahaaaaaaAcha upelelezi tii maamuzi ya kikao mpendwa
HallelujahHizo mbavu inabidi tuziombee! Umelalamika sana juu ya hizo mbavu, huu ni wakati wa Bwana kukuponya
Ondoa shaka mweka hazinaEwaaaaa
Mama mchungaji hautatuangusha
Tupande mlimani kwa ajili ya baba mchungajiInabidi tupige maombi sana
Asante
Mshikaji wangu Kuna kanisa humu,
Nilikuwepo kiroho baba Mchungaji, kama wewe tuuHahahahahahhahahahahaaaaaaaa
Kumbe na wewe ulihudhuria kikao chenu cha siri mkafanya maamuzi ya kugawa vyeo na nyadhifa!
Nisijue lolote mimi!!
AaaameeeeeniHizo mbavu inabidi tuziombee! Umelalamika sana juu ya hizo mbavu, huu ni wakati wa Bwana kukuponya
Kuhusu wewe na mpendwa wako mambo zenuVigezo vipi na masharti yepi hayo?
Nzuri mkuuZa jumapili humu
We mwenyewe ume declare hukuhudhuria kikao chochote- unajuaje kama hayo maamuzi ni ya kikao?Baba mchungaji usibishane na baraza
AmeniOoooh hallelujah
Bwana ananipgania kwa kweliAsante Sana, vipi uko poa
Pepo tokaaaaaaaaaaaa katika jina la Yesu mwana wa Mungu aliye haiWewe baba mchungaji hilo pepo likutoke