mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Nahisi Shunie umekaa mwenyewe ukaamua peke yako ukamgawia kila mmoja cheo/ wadhifaNa tumepatia kukupa na wewe baba mchungaji

Nahisi Shunie umekaa mwenyewe ukaamua peke yako ukamgawia kila mmoja cheo/ wadhifaNa tumepatia kukupa na wewe baba mchungaji

Unafurahi kweli
Hahahahahahhahahahahaaaaaaaa
Kumbe na wewe ulihudhuria kikao chenu cha siri mkafanya maamuzi ya kugawa vyeo na nyadhifa!
Nisijue lolote mimi!!
Umeona eeenh!Tumoo we ni chizi aki
Ni kumuombea tuu ajue cheo ni dhamana
HahahahhaahahaaaaaaaNakazia ili wasiwe mbali mbali
Za jumapili humu
Kama hivo mmebugiTunaanzaje kubugi
Au unasemaje mweka hazina
Salama mpendwa karibuZa jumapili humu
HahahhahaaaaaaTulikaa tukakupitisha wewe
Hizo mbavu inabidi tuziombee! Umelalamika sana juu ya hizo mbavu, huu ni wakati wa Bwana kukuponyaAiseee
Mbavu zangu jamani
AsanteSalama jamaani karibu tumefungua kanisa





halafu wala tulikuwa wote humu
Nahisi Shunie umekaa mwenyewe ukaamua peke yako ukamgawia kila mmoja cheo/ wadhifa![]()
![]()
![]()
![]()
Namshkuru sana Mungu mama mchungaji ananiinua kila wakati apewe sifa kwa kweli

Mtumeeeeeee!Hapana baba Mchungaji
Ooooh hallelujahUlikuwepo kiroho![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Salama mpendwa karibu
Na ww ulikuwepo kiroho mtumishiNahisi Shunie umekaa mwenyewe ukaamua peke yako ukamgawia kila mmoja cheo/ wadhifa![]()
![]()
![]()
![]()
