Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Ebu nieleweshe basi ni milima ipi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mpendwa unatangusha wapendwa wenzio
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mpendwa unatangusha wapendwa wenzio
Ndo ujue sasaWala sijui lolote, nimeshtushwa na Tumosa( mama wawili) kunambia mimi baba mchungaji

Mweka hazina itapendeza zaidi dearmama mchungaji sakayo we sijui tukupe cheo gani kwenye kanisa letu humu
Asante mpendwa.![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu mpendwa
Sijui loloteKhaaaa kwahiyo unabisha
Ndio wewe ni Baba mchungaji na sakayo mama mchungajiWala sijui lolote, nimeshtushwa na Tumosa( mama wawili) kunambia mimi baba mchungaji
Ameni mpendwaTUOMBE
Mungu wetu na Bwana yetu Asante kwa Neema yako kutupa siku hii ya leo JUMAPILI TAREHE 10 JUNI 2018 Ni Furaha yetu kuona Unazidi kuachilia Neema yako ya Uzima. Tumenyenyekea mbele zako Mungu kuonesha utii wetu kwako. Tunaomba Baraka zako,futa majonzi,masikitiko kwa kila Moyo Iliyokata tamaa na kuachilia Furaha na Pendo litokalo kwako. Kutana na haja za mioyo yetu na kuzidi kutufundisha Kweli yako, Bariki kutoka na kuingia kwetu. Mikono yetu ikakuzalie matunda yadumuyo. Fungua Uchumi wetu,asiye na kazi apate kazi. Mungu wakumbuke wagonjwa na wengine wote wanaotafuta kukuona, wakutane na uso wako. Mioyo yetu ikutukuze wewe sasa na hata milele na ibada zote siku ya leo UONEKANE MFALME WA AMANI NA MFARIJI WETU MUNGU USIYESHINDWA WATANGULIE WATUMISHI WA MUNGU WOTE WATAKAOSIMAMA MADHABAHUNI POPOTE ROHO MTAKATIFU AWEPO AMINA.
SIKU NJEMA,JUMAPILI NJEMA,IBADA NJEMA![]()
Evanaaaeeee, duuuuhNdio wewe ni Baba mchungaji na sakayo mama mchungaji
Sawasawa mpendwaNiko na upako niache
Muumini huyo
Weeeh ushindwe chagua kingineMweka hazina itapendeza zaidi dear
Ndio umeshajua sasa kuwa wewe ni baba mchungajiSijui lolote
Evanaaaeeee, duuuuh
Mweka hazina itapendeza zaidi dear
hapo unamtaka ugomvi wa kunyumba mwenzio