Makapuku Forum

Hah hahaha "" mkuu hicho cheo nipatie haraqa aisee..."" Usibadilishe tafadhali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we unataka kuchungulia tu waumini wenye mapepo wakianguka huna lolote
Aiseeee""".....Wacha nipige mlunzi kwanza........................."""" ... hiko cheo kinanifaa kabisa ..msinibadilishie aisee....
Hah hahaha "" mkuu hicho cheo nipatie haraqa aisee..."" Usibadilishe tafadhali
 
...basi hapo sawa, nilianza kupatwa na mashaka maana mimi band inamtaka mtu kama Rose Muhando, mwepesi kiuno kinanyambulika kama anapoimba wimbo wa Mbella sio kigumu utasema Bahati Bukuku anaimba Dunia Haina Huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…