Makapuku Forum

Kuna jambo nahitaji kufahamu kiufasaha!,
Neno "DESA/KUDESA", Ni neno ambalo nimelisikia Sana kwa wanavyuo, ninachotaka kujua nini;-
Chanzo/Asili ya neno desa?,
Nini maana kamili?,
Ni la kiswahili/la kuzuka/la kigeni?(kama ni la kigeni linaandikwaje kwa usahihi?),
Linatumika kwa jambo zuri au baya?.
Nawasubiri......
 
Desa ni kitabu au daftari(material)
Ukisema kudesa ina maanisha kusoma
Ni neno tu la kuzuka km vile Joto City hapa Jf au Kapuku.......
Kwa kiingereza ni MATERIAL
Asili yake ni vyuoni

ndo ninavyoelewa
........................
 
Desa ni kitabu au daftari(material)
Ukisema kudesa ina maanisha kusoma
Ni neno tu la kuzuka km vile Joto City.......
Kwa kiingereza ni MATERIAL
Asili yake ni vyuoni

ndo ninavyoelewa
........................
Asante, ila Kuna kauli nimewahi kusikia kwenye siasa zetu za majitaka:- ...aah wapi mbona mh....., masters yake Ni ya kudesa Tu...!, kwa hapo nikachanganywa Na kuanza kuhisi labda kuigiliza kutoka kwa mwingine pia Ni kudesa!
 
Maana yake Masters yake ni ya kusoma tu(kukariri) lakini kichwani hamna kitu japo kafaulu chuo

................
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…