Makapuku Forum

Nachokuaminiaa anko ni hapo huwa unanizunguka lakin kwa aunt yako sijawah kusikia au unafanya kimya kwa siri kubwa ??


...anko, mimi siwezi kukuzunguka, ila wewe ndo unanifanyiaga fitna. Ulienda kwa yule MC (mini cooper) yule dada mwenye changamoto ya urefu (mfupiiiiii) ukambeba mimi ujue pale ndo nilikuwa nimefika kabisa
 
...mama JJ, hebu acha kunipa shikamoo muda huu, unaruhusiwa kuninong'oneza na kusema 'baby Obe shikamoo' nami nitaitikia kwa tabasamu na kama umejipulizia unyunyu mzuri ninaweza hata kukupiga busu
Ni utaratibu tu.

Hujambo lakini
Hatujambo binamu hofu kwako
 
Hmmm... Haya... Na aunty wako unataka akuite bby



....ha hahaha, baby ni jina mnaitana mkiwa bar, aunt yangu she got ahead of herself akalihusianisha baby na mambo ya mapenzi kumbe ndugu kuitana baby ni kwa sababu mimi ni mtoto na yeye ni aunt yangu. Ujumbe wangu umefika nyumbani nadhani, utapunguza maswali sasa
 
Ha ha ha ha ha... Mimi wasi wasi wangu Usije ukaja kudai kunyonya kwa kisingizio cha utoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…