Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Lol...mi mkaidi na sisuburi mpaka siku ya Idd, ili nifaidi asiweke chura peke yake aweke na papa
Ebu ukoCjui wa mtoni![]()
![]()
![]()
Mletee miwani yke jamaniHapaa haonii mpaka avaee miwanii
Hauna picha ambayo inaonesha bila chenga ili anko wangu afaidiii
Kwan hapo haoni
SikwendiiiKwendraaa uko
...mi mkaidi na sisuburi mpaka siku ya Idd, ili nifaidi asiweke chura peke yake aweke na papa
...marahaba mama JJ na binamu wangu mwenyewe.
Anko wako apambane na hali yake
Alivo na roho mbaya ataweka kweli??...akiweka tu nakutag
Najua unapambana na hali yako binamu...na ninapambana nayo kwelikweli, sitaki mchezo mimi. Au unanionaje aunt
Binamu shikamoo
Alivo na roho mbaya ataweka kweli??
...marhaba sana aunt yangu, tunakupenda sana, unalijua hilo si ndiyo?
Lol
Mwambie anti yko aweke na papa
Hahahahahawatu wanayaweza waonekane wana gilesi wowowo chaaaa acha nibaki na flatscreen yangu