Makapuku Forum

Achana na aunt kwanza ...kwa nini umenisalitiiii tulipanga nini ?? Kwa taarifa yako nimetuma picha yako kimakosa ila maksudi kwa yule wa kule chini ...kesho utakomaa

Kwani kuna haja ya salam kweli??


...salam ya nini sasa kama ndo umetuma picha nzima, ungejifanya kukosea ukatuma passport ile niliyopiga nimevaa mokasini four engo.

Hata hivyo yule kwa ufundi niliotumia atakuja kuniuliza kama ni kweli, ananiamini sana kuzidi hata kiongozi wake wa dini
 

Binamu ww ni mgunduzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…