Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi sijambo kabisa. Wewe je? Siku nyingi hatujasalimiana. Huwa nakuangaliziaga shemeji kule upande mwingine
Yaan siku nyingi sana karibia mwaka msukuma jamani za wewe nilindie shemeji yako nakuaminia si unajua mambo za jf unamzindua kijana wako akishajulikana nyaku nyaku wanatokea jamani ukiona anataka kuibwa uingilie kati msukuma
 
Tena nikimtishiaga kuwa nitakuita uje kama siku ile ulipotia mguu kila mtu ikawa ndukiii basi anakuwa mpole sana. Ni mtu mzuri hana maneno na mtu tena mcheshi mno. Hongera !!!
 
Asante msukuma jamani uwe unamtishia hivyo hivyo kwahiyo huko kwenu hakuna aliyemwiba jamani we ndio mlinzi wangu unilindie msukuma tumetoka mbali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom