ha haha njaa ya uma mkuu"" lakini wanawake nikiburudisho ...wanapumbaza...kama umepanda daladala ukikutana na mtoto mzuri waweza kupitiliza kitu...so umeona nguvu ya Hawa watu jinsi ilivyo haina tofauti na gravitation force ""
sasa nifanyaje ""? kwa hiyo kama nasikia njaa ndio siruhusiwi na kuwaza warembo"" wewe wacha niwaze tu" maana Hawa nikiburudisho huwenda wakanipunguzia ukali wa njaa niliyonayo