[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ABJ kipenzi u hali gani?
Nimewasili humu mapema nikikusaka kwa shauku kubwa mpenzi[emoji7] bila mafanikio.
Nafurahi sana kukuona [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani yatoka rohoni kipenzi, kama nakuone vile[emoji7] [emoji7] [emoji7] hapa nilipo ni taabu kwelikweli[emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaka yngu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nikumbushe ID yako ya zamani
Maana najikuta nakumbuka ili sikumbuki
Aaaaaah kumbe ndo wwQuig...
Kaka huyu ni mdogo wetu Shamma ndo shemeji yetuShemeji shikamooo
Huku ndio kwake unampata humu hatokiHivi nayeye ni member humu???
MmmmKazana shemela
Au shem nimekosea jamaniWacha weee
Sweetlee yupo kaka asubuhi alikuwepo hapaNahisi jina lake nimekosea ila nilihisi wewe umebadili ID
HahahaHii ipo kwa wasichana View attachment 776280
[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]Hii ipo kwa wasichana View attachment 776280
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Sija adimika ni vile napitaga nyumayako ndo mana hunioni.
Chimbo langu lipo huku nakua sipo lakini nipo teh teh.
Poa za weweMambo vp
Baki na shikamoo yako tuSawa
Shikamooo
HahahaaaaWewe acha kutuangusha wanaume hili neno Darling wanaita wanawake tu