ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Hahaha swaga za ivo sina mwenzioToa hata ishara ya kung'ata ng'ata vidole mwenzio ajue unaelekea kingii![]()
![]()
![]()
Hajakosea mkuu, yuko sahihi.Wewe acha kutuangusha wanaume hili neno Darling wanaita wanawake tu
Bro uko freshUtakuwemo tuu
Sawa shemejiAghh hapana wee
Ndo hivo shem wanguSawa shemeji
Kazimika na katuni(avatar)nakwambia

We ng'ata tuHahaha swaga za ivo sina mwenzio

Bro tamka hilo neno kama lina ladhaa kwa mwanaumeHajakosea mkuu, yuko sahihi.
Niko fresh kaka, vipi hali yako!?Bro uko fresh
Sawa shemeji mi nashuhudia tuNdo hivo shem wangu
Tuko bwinoNiko fresh kaka, vipi hali yako!?
Ah mwishowe nijing'ate niumie kuiga nisivyo vijuaWe ng'ata tu![]()
Darling ni mpenzi, unaweza kusema MY DARLING BROTHER , MY DARLING FATHER/UNCLE NK..Wewe acha kutuangusha wanaume hili neno Darling wanaita wanawake tu
Napenda nishuudie yote ili nikasimlieusishuhudie yote
Sawa MkuuDarling ni mpenzi, unaweza kusema MY DARLING BROTHER , MY DARLING FATHER/UNCLE NK..
Jamani siyo vizuri hivo ukamsimulie naniNapenda nishuudie yote ili nikasimlie
Halina shida linaweza tumika wakati wowote, ila mazoea yalikuwa ni wanawake wanalitumia sana, neno Darling halina jinsiaSawa Mkuu
Mi nilisema hivyo si kwa kuto kujua kuwa halina shida
Shida ni mwanaume kulitamka
Linawafaa wanawake