Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Wewe acha kutuangusha wanaume hili neno Darling wanaita wanawake tuDarling umepata lunch kweli kipenzi!!!
Wewe acha kutuangusha wanaume hili neno Darling wanaita wanawake tuDarling umepata lunch kweli kipenzi!!!
Hayaa nasubiriAkijibu ndio nitamwambia
Ahaa hapana sijabadiliNahisi jina lake nimekosea ila nilihisi wewe umebadili ID
Sawa shemeji nashukuruAhaa hapana sijabadili
MkuuWewe acha kutuangusha wanaume hili neno Darling wanaita wanawake tu
Ee mambo mazuri hayataki harakaLonging ma dear
Chelewa chelewa nayo hatari zaidi kipenziEe mambo mazuri hayataki haraka
Kwa hiyo unategemea hilo neno uwe unalitumia kisa liko hapo dictionary
Bado sijakulaDarling umepata lunch kweli kipenzi!!!
Wewe acha kutuangusha wanaume hili neno Darling wanaita wanawake tu



Naomba unisaidie ni wapi wanatumia ke tu mkuuKwa hiyo unategemea hilo neno uwe unalitumia kisa liko hapo dictionary
Nakuja kukuchukua tukapate woteBado sijakula
Hahaha subira yavuta kheriChelewa chelewa nayo hatari zaidi kipenzi
Najianda nije SONGWE
@A
Mi nimeamua nikae kimya maana umelipenda kulitumiaNaomba unisaidie ni wapi wanatumia ke tu mkuu
Mkuu nimeishi na hao wadudu weupe more than 12yrs wanalitumia wote, so ni mapokeo, natamani unisaidie nipige hatua lkn kwa uthibitishoMi nimeamua nikae kimya maana umelipenda kulitumia
Mkuu nimeamua kukaa kimya ila mi naona halina ladha kwa mwanaume kumwita mwanamkeMkuu nimeishi na hao wadudu weupe more than 12yrs wanalitumia wote, so ni mapokeo, natamani unisaidie nipige hatua lkn kwa uthibitisho
"Halina ladha"Mkuu nimeamua kukaa kimya ila mi naona halina ladha kwa mwanaume kumwita mwanamke
O oo mimi huyooNakuja kukuchukua tukapate wote
Mkuu samahan kama nimekuudhi"Halina ladha"
Kwa mantiki hiyo nimekusoma
Japo ki uhalisia inaweza ikawa sawa.
Nimekupata boss