Kaka, kwa lipi?Mkuu samahan kama nimekuudhi
Sawa Mkuu neno halina shida shida ni ladha ya mwanaume kulitamkaKaka, kwa lipi?
Hujakosea hata kidogo, mimi napenda kujifunza, nilikuuliza kwa nia ya kujifunza kabisaa wala sio kukubishia bro
Yale si yalifanyika nje ya nchi tu ila hapo Dar nasikia walikamatwa watano usikute ni mmoja waoYa dada wa taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili jina lake lina ukakasi mwingi sana
Pale ambapo unajikuta umeipenda picha ukijua na mimi nipo hivohivo[emoji23][emoji23]lahaula mi sitakusaidia kunishangaa shauriako[emoji23][emoji23]Mmhh[emoji8] [emoji8] [emoji116] [emoji116] View attachment 776183
Kwanini mkuuHili jina lake lina ukakasi mwingi sana
Huyu anataka kusema jina langu ni la kichinaLitakuwa la kikabila mkuu, na huenda jina lina maana nzuri tu
mndali ndanyelakakomu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Pale ambapo unajikuta umeipenda picha ukijua na mimi nipo hivohivo[emoji23][emoji23]lahaula mi sitakusaidia kunishangaa shauriako[emoji23][emoji23]
Jinsi linavyotamkwa kwa luga za makabila mengine tafsiri ni tofautiKwanini mkuu
Ukakasi uko wapi hapo?
Nisaidie kwa lugha za huko kwenu tafsiri yakeJinsi linavyotamkwa kwa luga za makabila mengine tafsiri ni tofauti
Japo kwako linaweza kuwa na maana bomba
Kweli hahahaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ila naona mhusika umependa uitwe hivyoKweli hahahaa
Utakuwemo tuuMe simo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji7] [emoji7] [emoji120] [emoji120] [emoji120]We love u too
Nawe pia mpendwa.Muwe na mchana mwema wapendwa
Aghh hapana weeIla naona mhusika umependa uitwe hivyo
Toa hata ishara ya kung'ata ng'ata vidole mwenzio ajue unaelekea kingii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sweet? Hapana ni nani