Here is your word for today:
Verse: 2 Corinthians 12:9
'But He answered me, 'My grace is always more than enough for you, and My power finds its full expression through your weakness.'
- God can use the challenges and difficulties we face in life.
- He gives us what we need so that we are able to face any and every situation.
- In fact, when we are at our weakest, His power can find its fullest expression.
- His grace is available to you today, take hold of it.
PRAYER: Lord, thank You for Your grace that is available to me. No matter what I am facing I will look to You and Your mercy and grace to see me through. Amen.
Have a great weekend.
Kind Regards
ShikamooI like this
Mh maka akee ujue unatutisha mnoooHivyo hivyo tu shunie akee, namshukuru muumba.
Shunie akee we acha tu!! Sikutishi mpenzi ndio hali inayonisibu kwa sasa.Mh maka akee ujue unatutisha mnooo
ExactlyInfuse your life with action. Don't wait for it to happen. Make it happen. Make your own future. Make your own hope. Make your own love. And whatever your beliefs, honor your creator, not by passively waiting for grace to come down from upon high, but by doing what you can to make grace happen... yourself, right now, right down here on Earth.
Bwege mtozeni wee
Anza kutaja mmoja mmoja mie nitajazilizia..Tuanze msako wa kuwaita diaspora wa kf warudi kuujenga uzi
Salama ndugu yangu, sijui wwMakaveli 10 habar yako
Kaubishi gani!?Mi nipo hapa naona kaubishi kanaendelea
Aisee alikuwa anavuta bangi nyingi shululu nae naona ndio anakaribia kumrithi Bob Marley kwa kupuliza janiNi kansa ndo ilimuondoa, hadi mauti yanamkumba mwaka 1981 mwezi Mei tarehe ya leo (Mei 11, 1981) alikuwa akivuta nusu kilo ya bangi kwa wiki. Alifariki akiwa kijana tu ana kwa kuwa aliacha vitu vingi vya kukumbukwa, hajawahi kufa mioyoni na masikioni mwa wote wanaopenda kusikia nyimbo zake.
Namuongelea mwanamuziki na miongoni mwa watu maarufu duniani Robert Nesta Marley, Bob Marley kwa umaarufu. Mzungumzaji wa taratibu aliyeamini katika imani ya kirastafari. Aliingia katika mgogoro na aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Jamaica Michael Manley.
Akiwa nyumbani kwake mwezi December 1976 akijiandaa kutumbuiza tamasha la muziki alipigwa risasi, hazikumuua na watuhumiwa hawakupatikana. Bob Marley alimtuhumu waziri mkuu wa wakati huo kwa tukio hili.
Bob Marley, umeondoka lakini muziki wako unaishi na unabeba yote kila mmoja anayotaka kusikia leo na kesho.
Ni wedi babu angi zeiweOnga mchweo mjukuu wangu?
Mara kajina ka utotoniKaubishi gani!?
Shunie akee hiki ni kizigua eeh!!Ni wedi babu angi zeiwe
Nilikutana na mtu asiyefahamika.Mara kajina ka utotoni
I love you....dhahabu safi inapita kwenye moto mkali sana. Picha nzuri husafishiwa gizani ( achana na hizi picha za digital) na kwa maana hii, kadri unavyopitia sintofahamu basi mbele kuna anga angavu pajini kwako
Angalia hao watu hawakawii kukupotezaNilikutana na mtu asiyefahamika.
I love you
Hahaa.. Mimi mwenye ni mtu nisyejulikana ninaejulikanaAngalia hao watu hawakawii kukupoteza