Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
mfyuu lione
ndo imetolewa jana jaman,mbona unakuwa hivyo lakiniHyo slidi veeepe![]()
![]()
![]()
Pole shoga angundo imetolewa jana jaman,mbona unakuwa hivyo lakini

Wewe unaweza kuteka kizee kama mimi?![]()
![]()
![]()
kwa hyo ulitekwa
Shikamoo binamuHabari za asubuhi wadau, hoping mlikuwa na wikend njema. Vyovyote ilivyokuwa wikend basi niwatakie siku na wiki njema ya mwezi May, na FYI Ramadhan inajongea 🙂
Asante, nawe pia ObeHabari za asubuhi wadau, hoping mlikuwa na wikend njema. Vyovyote ilivyokuwa wikend basi niwatakie siku na wiki njema ya mwezi May, na FYI Ramadhan inajongea 🙂
Shikamoo binamu
Hatujambo kabisa binamuMarhaba binamu, natumaini umekuwa na wikend nzuri wewe na familia yako
Wauguzi popote mlipo shikamooniKwa Taarifa yako Tu
Tumeanza wiki (juma) la kuwakumbuka na kutambua kazi nzuri inayofanywa na wauguzi katika hospitali, zahanati na vituo vya afya ambavyo tuko karibu navyo.
Tenga muda wako wiki hii nzima kkumwambia muuguzi (nurse) asante kwa kazi kubwa anayoifanya kutuhudumia bila kujali uchovu anaokuwa nao kwa sababu ya kuhudumia watu wengi.
Nakumbuka enzi hizo naenda hospital na nurse ananidunga sindano naugulia maumivu na yeye ananiambia pole huku akitoa tabasamu la ukweli kabisa ambalo ni nadra sana kuliona kwa mwingine isipokuwa kwa muuguzi na mama/baba.
kiweza weka chochote unachokumbuka kuhusu kazi nzuri ya muuguzi.
![]()
Hawa ni wauguzi wa hospital ya Bugando (Picha nimeitoa BMG leo)
![]()
Basi ndo uteie ivyo mjukuu wangu.... Nakukunda sana mjukuu wangu




















Hyo slidi veeepe![]()
![]()
![]()
ndo imetolewa jana jaman,mbona unakuwa hivyo lakini
Pole shoga angu![]()
![]()
![]()







