Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndio unapoishi huko au upo kwa ajili ya kilimo


Ha ahahahhahhahah, jinga Sana wewe aunt, yaani watu wa Dar mnadhani Rukwa hamna mjini/downtown ,lol!

Huko Kuna mtaa unaitwa makanyagio, Kuna bank na bar nyingi tu.

Nimecheka sana yaani hata mechi ya futuhi imenikinai nicheke kwanza.

Eti huko ndo unaishi au kwa ajili ya kilimo
 
Sio mwanaume mm hapa jamani
Nilikuwa namaanisha, mwanamke unaanzaje kufa kwa uchupa hapa mjini, wanaume wanalipia hiyo ujue sasa ndio itakuwa kuigawa bure, ukilala na genye ujue wewe una roho mbaya to the extent, unaweza kufa njaa kisa tu ukilaa mgeni atapata!!

Kufa kijerumani.
 
Back
Top Bottom