Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Jamani mpaka mnanitafuta huku nimeshapost mda sana side halafu jina lako limefanana na la mbebez wanguShunie et ile story umeshapost madam weyeee
Jamani mpaka mnanitafuta huku nimeshapost mda sana side halafu jina lako limefanana na la mbebez wanguShunie et ile story umeshapost madam weyeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mayonise atakupa Obe me cjui znakopatikana
Hahhahhaha nani sasaYupo..
Wacha wee na lee je!?Ndio mbebez wangu huyo maka akee
lala vyema mkuu.Muwe na ucku mwema wapendwa
Nawapenda sana
Nitakupitishia kesho, hapo maramba mawiliShemela usiku mwema usisahau kesho cake yangu na heineken zangu au tutaonana jumapili simba tukiwafunga yanga
Hakuna magari kugongana kila kitu anajua nilishamwambia na baba d anajua sasa hivi yupo mwenzieMbona kaja ngoja magari yagongane 😀 😀 😀
Nendeni jamani mkalaleTwende mama JJ
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mpaka tufike tutakutana tu golden jubilee anatuangalia tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani leo kuanzia saa saba usiku JF ilikuwa inaingilika?Ndo vtu gani hvo
EeenhHapana shunie akee!!!
Watu kibao hudhani hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najifunza kilugha mkuu J
Enzi zile watotto wakishua wanajibu present sie tunashangaa ndio nini!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tayar mkuu
Nahisi bado anachukua ile shule, ambayo ilisababisha mpasuko na husna [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndio unapoishi huko au upo kwa ajili ya kilimo
Khaaa yamegongana na lipi tena hakuna gari lilogongana bana kuhusu maka wala uwe na amani zote yaaniAisee!AiseeNa yameshagongana aisee hii ziara ya kushtukiza imezaa matunda....
Yupi sasa lee, davet ama huyo mwingine tena!?[emoji23] [emoji23]Jamani mpaka mnanitafuta huku nimeshapost mda sana side halafu jina lako limefanana na la mbebez wangu
Aiseee kwahiyo hilo jina unalotumia ni vipiiii hujui kama alikuwaga kiongozi wa hilo kundi omarionheheheheh B2K tena?
mayonaise tamu sana wanaume wa DAR wanaifahamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kuna siku nyagei alipost pilau iko na mayonaise
DavetHahhahhaha nani sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema nikikosa nyama napambana na fanta orange yangu sitaki shida kabisaKufa kwa waganga tutapungwa na walevi[emoji23] [emoji23]
Simba akikosa nyama, hata nyasi twende.