Ndio nasikia leoLee tuliachana jamani na anajua nikamwambia niko na mbebez mwingine
hehehehh,Aiseee kwahiyo hilo jina unalotumia ni vipiiii hujui kama alikuwaga kiongozi wa hilo kundi omarion
Unasikia leo si sababu hauonekani mbona kwenye thread niliyomwandikia Davet ulikujaNdio nasikia leo
Kulala bado.lala vyema mkuu
Wooooooozeeeeeer mapenzi kitu kingine jamani ukikumbuka zile mambo za kuandikana kwa makapeni jamani natamani siku zirudi nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aisee!
nimemis sana husna muba.
hii siri nakumegeeni nilibadiri ile ID sababu yake...
Saidi atakukata hamu zako...Ni jina limefanana na la mpenzi wangu ndio lakini hapa nipo na mbebez wangu Davet jamani hivi mkiniharibia mnataka nikufwe na hamu zangu au
VizuriWawili siwezi niko na Davet tu nilimpa kadi nyekundu mimi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh!! Mbona hukuniambia km ulipigwa kadi nyekundu.. Kwahyo sasa hiv uko na wote wawili.
Hahhahah na Mungu ana sababu zake na kunikula huwezi kabisa ni zaidi ya dada ako mieNa ningekuwa nakukula sijui ingekuwaje.. Km nawaona vile wavimba macho[emoji23] [emoji23]
Kwa kina sisi mitoro mitoro..[emoji23] [emoji23] [emoji23]hizo sauti mala nyingi zilikuwa zikipatikana back bancher kulee kabisa.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nilaleSaidi atakukata hamu zako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizuri
Wewe wa wapi kwani!?Nimefurahi tu maka akee
Nawe pia shemelaNiko nalala jamani muwe na usiku mwema nawapenda [emoji120][emoji7][emoji7]
Ndio
shemu una wakati mgumu sana,Khaaa maka jamani ujue utasababisha nilazwe mzungu wa nne na davet huyo anaulizia story ninazoweka entertainment lee jamani mbona kakubaliana na matokeo
AsanteeAhsante, karibu na ww.
[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aisee!
nimemis sana husna muba.
hii siri nakumegeeni nilibadiri ile ID sababu yake...
hehheh aiseeNilitegemea jibu la tumosa