makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,477
Nitake radhi nyama weye...Unayo jamani naiona
Nyauba wee!! A half kisokorokwinyo..
Nitake radhi nyama weye...Unayo jamani naiona
Aahh!! Sawa.Mm msambaa
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji8][emoji8]
Ni kweli shembasi lazima uko special kwa namna moya ama ile ingine!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nimeuliza tu mmHa ahahahhahhahah, jinga Sana wewe aunt, yaani watu wa Dar mnadhani Rukwa hamna mjini/downtown ,lol!
Huko Kuna mtaa unaitwa makanyagio, Kuna bank na bar nyingi tu.
Nimecheka sana yaani hata mechi ya futuhi imenikinai nicheke kwanza.
Eti huko ndo unaishi au kwa ajili ya kilimo
Halafu basi tu jamani mm huo mchezo wa kwichi kwichi unafikiri napenda wala jf tu huku fake I'd zinatudanganya maka akee naweza kwa miezi nisikwichi kwichiNa unavyopenda mchezo huo.. Sikupatii picha utotoni kwenye kibaba na kimama, siku ukichaguliwa uwe mtoto unavylia, unaona umekosa nafasi ya kukulwa..[emoji23] [emoji23]
WakalalaneWakalale au wakalalane!!
Wazee wa nzasaNdio shunie akee!!
Sio leo kila siku nalala chuku chukuLeo unalala chukuchuku!!!?
Kumbe nawe ni arsenal kama shema shululu [emoji3][emoji3][emoji3]Aahh!! Arsenal wameshaniharibia usiku, schwain..
Mpaka umpate mwanaume umpende sio kila mwanaume basi lazima akukule jamani si unajuaga vile mapenzi ni hisiaNilikuwa namaanisha, mwanamke unaanzaje kufa kwa uchupa hapa mjini, wanaume wanalipia hiyo ujue sasa ndio itakuwa kuigawa bure, ukilala na genye ujue wewe una roho mbaya to the extent, unaweza kufa njaa kisa tu ukilaa mgeni atapata!!
Kufa kijerumani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitake radhi nyama weye...
Nyauba wee!! A half kisokorokwinyo..
Woyoooooo woyooooo mwendo wa makiss tu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Nawe pia TumosaHbr ya leo wapendwa,muwe na cku njema na mwisho wa wiki mwema
Asante umzima mbalizi1Nawe pia Tumosa
Asante mke mweee na kwako piaHbr ya leo wapendwa,muwe na cku njema na mwisho wa wiki mwema
Mzima sana mimi, hofu kwa Tumosa tuAsante umzima mbalizi1