Makapuku Forum

Makapuku Forum

za leo njema sana mkuu,

japo tulipata shida sana kuacces kuingia hapa jukwaani hapo awali ila sahivi mambo yamekaa njema.

BTW siku ilikwendaje?

Siku ilikuwa nzuri, asante kwa kuuliza. Yeah kuliaccess jukwaa na JF ilikuwa ngumu sana hadi nilipoenda kufuatilia tweets zao ndo nikajua wameshafanyiwa yao
 
Nmekuja kumtakia kheri ya kuzaliwa baba wawili
Mungu amtimizie haja ya moyo wake
Ampe miaka mingi ya kuishi duniani
Obe ukipita hapa mchagulie wimbo mzuri aburudike pamoja na makapuku wote
HBD Shululu
Asante mama wawili, wewe ndio kila kitu katika maisha yetu familia yetu kwa ujumla, unajua navyokupenda nawe unavyonipenda, Asante Asante sana mama wawili
 
Back
Top Bottom