Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Enjoy ur day shemelaAsante shemela wangu shunie sana sana
Enjoy ur day shemelaAsante shemela wangu shunie sana sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiindonesia au!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mke mwee nimekushindwaaa kumbe huwa unawafatilia
Khaaaaa sasa shululu investment zinanihusu mm si zinakuhusu wewe mkeweKwani hujaziona zile Shululu investment trucks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojoaaaaaaaaaaNa mie nilijitoa ila tu sikutangaza.
Woooooooyoooooooooo mnanipa wivu jamani sina wa kubebishana nae kapuku
Sasa si muongee kiswahili nyerere alikataza mambo za ukabilaAnauliza leki mbona haipo
Mambo ni hivi [emoji119]
WooooooozeeeeerYaani mambo ni moto
Bora umwambie pamoja salaam sijapewa mm nizifikisheIla shunie akee alinipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nyoka hana mabega
Kwani kuna wajamaica wa ndani wanajua Bob Marley yupo haiHiki kitakuwa kijamaika cha ndani ndani kabisa huko... Ambako wanajua mpaka leo bob marley yupo hai.
Ni kweli binamu upo sawa kabisa hapo ndio alipokosea huyu dogo kuna wale solid ground wana nyimbo yao ya bday ndio ipo kote kote ebu itafute kama wana video yao inaitwa hivyo hivyo happy birthdayAunt, huu wimbo ni mzuri, japokuwa muimbaji ninavyoona hakujali kutaka kujua wimbo wake uwafikie kina nani. My point is, angelenga mbali kuufanya huu wimbo uwe kwa wote (unisex), kwa sasa umekaa kwa ajili ya jinsi moja zaidi.
Ninaupenda lakini ukiusikiza wimbo wa Wonder Stevie hauna ukakasi kuimbwa na yeyote kwa yeyote wakati wowote. Inawezekana kichwa changu kina mawazo machafu muda mwingi
![]()
Eeenh...mkazane sana mbele, sio nyuma tu maana wengi wanashindwa kuendelea mbele kwa kukazania mambo ya nyuma tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...anakujaga kuchota ufundi, mvua hizi usizichezeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niache mie
Kwema habari ya wewewakuu kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojoaaaaaaaaaa
wakuu kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kochi limekojolewa jamani khaaaa