Baba D bado anachoma mkaa tu [emoji125] [emoji125] [emoji125]Woooooooyoooooooooo mnanipa wivu jamani sina wa kubebishana nae kapuku
@ABJNachukua nafasi hii kuwakaribisha kwenye Keki,jioni hii, itakuwa pale akemi revolving restaurant, golden jubilee tower 21st floor, post mpya
Karibuni sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Enjoy ur day shemela
afandeee,Asante mama wawili, wewe ndio kila kitu katika maisha yetu familia yetu kwa ujumla, unajua navyokupenda nawe unavyonipenda, Asante Asante sana mama wawili
habari yako shemela mwenyewe?Abeee shemela
Huyo ndio binamu yakoEeenh
Kwema mkuu, karibuwakuu kwema?
Nko poa hbr ya kupambana na halihabari yako shemela mwenyewe?
HAPPY BIRTHDAY KWAKO MKUU HAVE A BLAST ONE,Nachukua nafasi hii kuwakaribisha kwenye Keki,jioni hii, itakuwa pale akemi revolving restaurant, golden jubilee tower 21st floor, post mpya
Karibuni sana
Kweemawakuu kwema?
Ww ntakupitishia hapo bomani weekend hiiHAPPY BIRTHDAY KWAKO MKUU HAVE A BLAST ONE,
VIP KWA SIE AMBAO TUPO MIKOANI?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KEKI LINAPITA MBELE YA MACHO YETU HIVI HIVI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akirudi dk 5 nyingi anasepaKuwa mpole mke mweee atarudi tu
Afande shedede niajeshululu
Naaam mlinzi wanglyon lee