Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
😀 😀 😀 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mke mwee nimekushindwaaa kumbe huwa unawafatilia
😀 😀 😀 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mke mwee nimekushindwaaa kumbe huwa unawafatilia
Baba D katekwa na maandamano nnWoooooooyoooooooooo mnanipa wivu jamani sina wa kubebishana nae kapuku
Hahahaa...anakujaga kuchota ufundi, mvua hizi usizichezeee
shem habari ya kwako?Ni kweli binamu upo sawa kabisa hapo ndio alipokosea huyu dogo kuna wale solid ground wana nyimbo yao ya bday ndio ipo kote kote ebu itafute kama wana video yao inaitwa hivyo hivyo happy birthday
HahahaaaKhaaaaa sasa shululu investment zinanihusu mm si zinakuhusu wewe mkewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi sanaaaa
Hahahaaa mbona mkiongea na babu tunakaaga kimyaSasa si muongee kiswahili nyerere alikataza mambo za ukabila
Baba D naona anapambana na hali yake jamani hata sijui katekwa na maandamano au katekwa na vyeusi mangalaBaba D katekwa na maandamano nn
just wonder jina ya shedede still bado ina trend kuliko hii niko nayo sasa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
za leo njema sana mkuu,kwema sana, za leo!
Hivi kweli we ni shedede sijui kwa nn sitaki kuamini yaan siamini sababu hii I'd nilikuwa naiona sana humu kapukujust wonder jina ya shedede still bado ina trend kuliko hii niko nayo sasa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema vpwakuu kwema?
Salama shem za weweshem habari ya kwako?
Unacheka tena ebu nijibu mie zinanihusu nini mke mweeHahahaaa
Baba D naona anapambana na hali yake jamani hata sijui katekwa na maandamano au katekwa na vyeusi mangala
Liniii naongeaga na babu mieHahahaaa mbona mkiongea na babu tunakaaga kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti ukawa mlozi, ukanunua laptop dah nimecheka kama mwehu.......kwa sababu ulishine kwa jina hilo, ukawa mlozi, ukanunua laptop sasa hili tayari mwenye nalo anajulikana dunia nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu...kwa sababu ulishine kwa jina hilo, ukawa mlozi, ukanunua laptop sasa hili tayari mwenye nalo anajulikana dunia nzima
Mpe pole sanaanko wangu kaibiwa simu