makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,449
Mwambaje.. Mwabesa besa au mwabesekewa..
Wooyoooooooooo woyoooooooo maka akeeKapuku kapukuz
Shunie akee!!Wooyoooooooooo woyoooooooo maka akee
Hakuna kitu kibaya kama kujiona ww ndio sahihi.Tafasiri Unavyoweza: Maandamano Yamelipa
Hakuna ubishi kuwa leo maandamano yamefanyika, ndiyo yamefanyika tena kwa kiwango kikubwa sana. Maandamano haya unaweza kuyatafasiri unavyoweza nami nitakueleza kuwa wakati wewe ulikaa ndani leo polisi wengi kwa karibu wiki nzima hii walikuwa wakiandamana (wenyewe wakiita mazoezi) kumuunga mkono dada jasiri (hata kama hukubaliani na baadhi ya mbinu zake za kuwasilisha ujumbe) Mange Kimambi. Ukiwaacha polisi walioandamana kwa wingi sana, raia wengi walikuwa na ufahamu wa tukio la maandamano ya leo na kwa kuunga mkono maandamano haya waliandamana kifikra. Tafasiri unavyoweza.
Ujumbe umetumwa na umefika kikamilifu, ni bahati mbaya sana kuona rais na serikali inayojinasibu kufanya mambo mazuri inakuwa katika nafasi ya kujihami zaidi kuliko kujitokeza nje na kusikiliza yale ambayo yanasemwa kuwa haifanyi. Haki ya kujieleza kama ilivyo haki ya kuandamano na mikutano ni kitu kilichokubaliwa ndani ya katiba, si hisani ya rais, au chama kilichoko madarakani. Ni ushamba mkubwa kudhani kuwa mtu mmoja au kikundi cha kisiasa kinaweza kuamua tofauti na katiba. Ni suala la muda tu, bubu atasema kwa kupaza sauti na hapo ndo walioshika madaraka watapazwa kwa kasi ya kobe, waugulie maumivu kwa kila hatua. Sio utabiri huu ninaoandika, naandika utafasiri unavyoweza.
Asanteni sana jeshi la polisi kwa kuandamano na kumfanya Mange na hoja zake ziwe na mashiko, bahati mbaya sana wakati mnaandamana hakukuwa na chombo kingine cha kuwazuia kuandamana
Kapuku kapukuz
Abeeh maka akee niko hapa za wewe jamaniShunie akee!!
Reggae is music that i need.. [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Muziki: Heko ya Kuzaliwa shululu
Nafurahi hujaandamana barabarani leo, ni jambo zuri kufanya kilicho sahihi kwako na ndiyo maana Tumosa aka mama JJ kaamua kumtunuku shululu wimbo mzuri siku ya kukumbuka kuzaliwa kwake. nami ninakusalimia kapuku na kukutakia wakati mzuri wakati ukitafakari siku ya Ijumaa itakavyokuwa.
Burudika na muziki na tumtakia Shululu heko ya kuzaliwa
Hakika [emoji3] asantee sana mwaya nimekaribiaJamani tulikumiss pia najua ulitekwa kwa raha karibu tena mamy
Swalama kaka, niambie muzee ya korosho, fundi ya monde arabeMukulu bilanga, mopao, swalama mdau!
Hakuna kitu kibaya kama kujiona ww ndio sahihi.
Za mimi ni poa,sijui za wewe shunie akee.Abeeh maka akee niko hapa za wewe jamani
Utwalino kikolo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hakika [emoji3] asantee sana mwaya nimekaribia
Ukiishi kwa kufumba macho na kuwakataa watu wasikushike mkono tegemea kuingia topeni ama kuzama shimoni.....Maulana katupa utashi na uwezo wa kufikiri na hii ni tunu ambayo haijawahi kuondolewa na yeyote iwe enzi za Mongol ya Genghis Khan ambaye pamoja na maguvu yake alikuwa na uvumilivu kwa wale anaowaongoza au alikwapua himaya zao itakuwa zama za leo!
Yana mwisho.
Cjambo binamu za ww
Shemela!!Cjambo binamu za ww
Mma tununu mwe twamasikuUtwalino kikolo
Asantee sana ankoo nimekaribia...ni jambo la furaha kukuona hapa tena. karibu
Ukiishi kwa kufumba macho na kuwakataa watu wasikushike mkono tegemea kuingia topeni ama kuzama shimoni..