Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,276
Mkuu juzi sijakuona sana kushambulia jukwaa la VPL.. Wakati Mnyama Mkali akikataa kufungwa kamba kule Iringa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu juzi sijakuona sana kushambulia jukwaa la VPL.. Wakati Mnyama Mkali akikataa kufungwa kamba kule Iringa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Juzi nilikuwa busy sana yaan nimeingia huku jioni ukiniona sipo uwe unaniita jamaniMkuu juzi sijakuona sana kushambulia jukwaa la VPL.. Wakati Mnyama Mkali akikataa kufungwa kamba kule Iringa
Asante kwa makaribisho ya kukuita.. Tukutane April29 tuvunje bwawa la samakiJuzi nilikuwa busy sana yaan nimeingia huku jioni ukiniona sipo uwe unaniita jamani
Sawa mkuu usijali tutakuwa pamojaAsante kwa makaribisho ya kukuita.. Tukutane April29 tuvunje bwawa la samaki
Haya tukutane panapo majaaliwa..!Sawa mkuu usijali tutakuwa pamoja
AmeenHaya tukutane panapo majaaliwa..!
Shukrani.. Ila hujasema maito ni wapi? Hashtag.. Pm?Ameen
Hahahah pm situmii mkuuShukrani.. Ila hujasema maito ni wapi? Hashtag.. Pm?
Dooh.. Haya mkuu, maana sitaki kujipa maswali mengi kwanini hutumii pm.. Huenda ni kama vile ninavyowazaHahahah pm situmii mkuu
Sanaa binamu namshkuru Mungu sijui kwa upande wako vipi anko wako anaendeleaje
Shikamoo binamy na wengineo...ilikuwa poa sana, kama kawaida huwa sifanyi uzembe na hizi mvua huhitaji kinywaji kikae kwenye friji, unatumia kinywaji kinachokaa jikoni
Hahaha ebu niambie umewaza niniDooh.. Haya mkuu, maana sitaki kujipa maswali mengi kwanini hutumii pm.. Huenda ni kama vile ninavyowaza
Ahsante Shunie"Stress" msongo wa mawazo ni shida yetu sana , ila usifanye stress ikakufanya udhalilike,usifanye stress ikakufanya udharaurike,isikufanye stress ukaonekana kituko, jitahid kujicontrol na kumuomba Mungu sana
Hakuna asie vurugwa ila jitambue wee ni nani kabla hujaruhusu huo mtibuko mbele za watu, umekataliwa ,umeachwa bas unapita kila mtu unamuadithia unalia kila kukicha,jaman ukiwa sawa hutopenda hayo maaisha, unastress za kazi basi jitahidi kutafuta njia ya kufikisha huo msongo wako, chagua hata unaemuamini muelezee upunguze machungu ila usifanye stress ikakufanya kituko
Mkushi upooo nani kakuteka hivyo lakiniAhsante Shunie
Ntafutie jirani yangu alipo nimmwagie stress zangu."Stress" msongo wa mawazo ni shida yetu sana , ila usifanye stress ikakufanya udhalilike,usifanye stress ikakufanya udharaurike,isikufanye stress ukaonekana kituko, jitahid kujicontrol na kumuomba Mungu sana
Hakuna asie vurugwa ila jitambue wee ni nani kabla hujaruhusu huo mtibuko mbele za watu, umekataliwa ,umeachwa bas unapita kila mtu unamuadithia unalia kila kukicha,jaman ukiwa sawa hutopenda hayo maaisha, unastress za kazi basi jitahidi kutafuta njia ya kufikisha huo msongo wako, chagua hata unaemuamini muelezee upunguze machungu ila usifanye stress ikakufanya kituko
"Stress" msongo wa mawazo ni shida yetu sana , ila usifanye stress ikakufanya udhalilike,usifanye stress ikakufanya udharaurike,isikufanye stress ukaonekana kituko, jitahid kujicontrol na kumuomba Mungu sana
Hakuna asie vurugwa ila jitambue wee ni nani kabla hujaruhusu huo mtibuko mbele za watu, umekataliwa ,umeachwa bas unapita kila mtu unamuadithia unalia kila kukicha,jaman ukiwa sawa hutopenda hayo maaisha, unastress za kazi basi jitahidi kutafuta njia ya kufikisha huo msongo wako, chagua hata unaemuamini muelezee upunguze machungu ila usifanye stress ikakufanya kituko
Asante sana binamu...kuongezea tu katika makala yako nzuri ni kuwa msongo ukizidi huleta sonono (depression) na tatizo la woga/kutojiamini (anxiety) na ikifikia hapo basi kuna mengi yasiyo mazuri yanakukaribia. Asante kwa kutupia makala hii