Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Sijambo babu angu mie shikamooHujambo mjukuu wangu?
Sijambo babu angu mie shikamooHujambo mjukuu wangu?
Mtaasisi vip
Mambo ya dunia mkuu... Sometimes you just become too busy.... Lakini hii id siikumbuki!!
Tatizo hamdeki... Ndo maana babu anaamua kudeka yeye!Sisi ndio tunatakiwa tumdekee babu
Tunadekaje huonekani babu jamaniTatizo hamdeki... Ndo maana babu anaamua kudeka yeye!
Marhabaa mjukuu wangu... Jambo wewe?Sijambo babu angu mie shikamoo
Jambo mm babu sijui weweMarhabaa mjukuu wangu... Jambo wewe?
Sawa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...unamkumbuka @shedede aka Shadrack , sasa ndo huyu kaja tena. Nadhani ni baada ya kumaliza kozi ya kiinglishi, si unakumbuka alinunua laptop
Imi nkunda uniughuushe kishambaaJambo mm babu sijui wewe
Basi nimeamua ntaonekana mungu akipendaTunadekaje huonekani babu jamani
Ameen babuBasi nimeamua ntaonekana mungu akipenda
MmhImi nkunda uniughuushe kishambaa
Utaogoha?
Hehehe kwan shemu,Unanitafuta nn lakini
Hehehe[emoji23][emoji23][emoji23],Mambo ya dunia mkuu... Sometimes you just become too busy.... Lakini hii id siikumbuki!!
Hehehehhe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],...unamkumbuka @shedede aka Shadrack , sasa ndo huyu kaja tena. Nadhani ni baada ya kumaliza kozi ya kiinglishi, si unakumbuka alinunua laptop
Asante, nipoPoa sana mdau, umepotea mno na tunafurahi kukuona hapa tena