omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,206
- 17,687
Mkuu za kupotea? Na kupotezana?Omarion5 salam sana
Mkuu za kupotea? Na kupotezana?Omarion5 salam sana
Asante mama wawili, za jioniBaba wawili karibu
Pamoja na maombiIla mabadiliko ni nini
Mama D za jioniZa lushoto
AmeenPamoja na maombi
Salama shemela za weweMama D za jioni
Natanguliza salamu....hata mimi nilikumiss binamu mama JJ. Sema tu wewe na wengine mlipotea humu.
Nafurahi kuwaona na aunt yangu Shunie , mzeewakungoa , shululu (Newcastle wanawatakia wiki njema), Mndali ndanyelakakomu , omarion5 na anko wangu mwenyewe Lyon Lee
Abeee baba JJMama JJ
Salama pole na kaziAsante mama wawili, za jioni
Asante umzimaMkuu tumosa
Natanguliza salamu
Asante mama wawiliSalama pole na kazi
Nzuri kabisa mama DSalama shemela za wewe
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante mama wawili
Sie tupo okay mkuu,Humu wazima?
Unanitafuta nn lakiniAfande shululu
Asalaam.
Mambo ya dunia mkuu... Sometimes you just become too busy.... Lakini hii id siikumbuki!!Mkuu za kupotea? Na kupotezana?
Hujambo mjukuu wangu?Unanitafuta nn lakini
Za jioni?Unanitafuta nn lakini