makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,552
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee
Hawajui we ni ni Iyobo eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee
Hawajui we ni ni Iyobo eeh
Salama mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baada ya kuchukua taarifa zako + alama za vidole, ulifuata utaratibu wa kuwatambua raia wema na wabaya. Walio kuwa clean Bila ya makando kando awamu ya kwanza tu majina yao yalitoka wale wengine ilibidi waangaliwe ili wajiridhishe vizuri.Mh polisi wapi nida si walikuja mtaani kuandikisha ndio tukajiandikisha
Unaweza kutunuku pasi na hisiaSasa je unakulwaje na mtu haujamtunuku au kutunukiana achana na swala la kulana jamani ni hisia na kupenda
[emoji124] [emoji113]Naona umekuja nyumbani kwetu karibu sana ila huku unaweza kupigwa jamani mume wangu yupo humu [emoji3][emoji3][emoji3] sema sijui katekwa hatulii ndio mana nimetafuta mchepuko
Itakuwa kweliHahaa.. Hawajajua tofaut ya simu na sim card
Kabisa mkuu, unajionea ni sarakasi tu hizi kama movie ya Chaplin iitwayo CircusUnajikuta unacheka mwenyewe tu.
Itabidi tukupeleke dodomaNtampeleka hospital kumpima kama akili ziko sahihi...
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] kwangu shubiri
[emoji818]Shukrani mkuu
FafanuaSICHUKUI
Kesho nitakujuzaHabari za usiku makapuku naomba mni elekeze kwa wanao jua
Ofisi za Nida makao makuu ziko sehem gani?
Sawa nitashukuru ndugu NyageiKesho nitakujuza
Nyagei
Wako KinondoniHabari za usiku makapuku naomba mni elekeze kwa wanao jua
Ofisi za Nida makao makuu ziko sehem gani?
AhsanteWako Kinondoni
Nyuma ya Ubalozi wa Ufarasa.
Salama tu kiongozi, vip hali!?Salama mkuu
Ngumu mnooooooooooUnaweza kutunuku pasi na hisia
Nyagei
You welcome mkuu.Ahsante
Nashukuru.
Vinywa maji.Itakuwa kweli
Nyagei
SaluteWako Kinondoni
Nyuma ya Ubalozi wa Ufarasa.
Salute..Salute