Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sawa nitashukuru ndugu Nyagei
NIDA HQ IPO KILIMANI ROAD BAADA YA UBALOZI WA UFARANSA ILE NJIA YA KUELEKEA KINONDONI BAADA YA KILIMANI BAR MBELE KIDOGO NDIPO OFISI ZILIPO.

www.nida.go.tz

Screenshot_2018-03-23-00-36-15.png

Screenshot_2018-03-23-00-37-40.png
 
Aah
Nyie jamaa mambo gani ya Ramani hayo mi geography sku soma.
Nikifika maeneo ya ubolozini ntaangalia tu njia gan ina nishawishi kuwa ndio NiDA huko.
Thanks lakin
Wala haikuitaji kwenda shule mkuu..

Ni simple..! Ila nawaza tuu ushaona njia hapo kwenye ramani tayari..

Kazi kwako
 
Wala haikuitaji kwenda shule mkuu..

Ni simple..! Ila nawaza tuu ushaona njia hapo kwenye ramani tayari..

Kazi kwako
Nime ielewa ile njia, kuna siku niliebda kula kwenye cantin moja iko kule japo ilijuwa zamani sana.
 
Back
Top Bottom