Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaa... Wapi bro!!?

Naanzaje kumkula shunie akee ni porojo za humu tu itakuwa, japo sikumbuki km nishawahi kumtania kuwa nataka nimkule..
Shunie akee na mie tunajuana hapa hapa jf kwengine hatuna mawasiliano kabisa
Hata tungekuwa na mawasiliano kwangu ni km mdogo wangu/dada yangu
Naanzaje kumbinjua binjua shunie akee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unajua kujtetea
 
Back
Top Bottom