makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,552
Hhmmm... Vunga bhana, mbona unataka kunivua msuli ukweni[emoji23] [emoji23]Maka unakumbuka yule dogo wa kuhindi ulimkulaga...yule dogo wa ilala? [emoji41]
Marhaba dada mdogo wangu[emoji23] [emoji23]Sijambo mimi shikamoo
Umepewa nini!?Asanteeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimeshindwa kumuwekea huyo shemeji yangu kwa dada angu
Hahaa.. Hawajajua tofaut ya simu na sim card
Siwez kabisa..Hivyo hivyo
Atueleze vizur
Mwambie hapo kapigwa chenga ya mwili kama andunje messi alivyomfanya boateng[emoji23] [emoji23]Aiseee me na maka tunajua tulichoongea sio hivyo unavyofikilia
Unajikuta unacheka mwenyewe tu.Nami nimejiuliza sana
Ntampeleka hospital kumpima kama akili ziko sahihi...Akikupa utakataa?
Wakikujib nishtue na mie nigelezee jibuEbu ngoja niulize kuhusu kitambulisho cha taifa mwanzo kabisa nilipata au natakiwa nipate kipya kile hakifai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwangu shubiriUmesikia hii papuchi yangu ni pipi kila mtu analambishwa alambe
Shukrani mkuuKipya cha nini wakati hicho ulichonacho kinakwisha muda wake 2024
SICHUKUINimemuuliza Makaveli10 ikitokea akapewa hii hapa chukua JE ATAKATAA?
[emoji817] kweliSasa je unakulwaje na mtu haujamtunuku au kutunukiana achana na swala la kulana jamani ni hisia na kupenda
Hahaa... Ndio ukweli wenyewe huo shemeji we muulize nduguyo km kuna siku niliwahi kumtongoza ama kumfata hata pm, sisi tunamalizana hapa hapa, hata tungekuwa tunajuana nje ya jf shunie namchukulia kama dada/mshikaji/swahiba kwangu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] unajua kujtetea
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umekuja nyumbani kwetu karibu sana ila huku unaweza kupigwa jamani mume wangu yupo humu [emoji3][emoji3][emoji3] sema sijui katekwa hatulii ndio mana nimetafuta mchepuko
Bila shaka umetoka kwa bwana, una dalili za mke mwema[emoji23] [emoji23]Mwache azurure akichoka atarudi home
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu wamevaa mask kama soudy brown tuu