Makapuku Forum

Makapuku Forum

tapatalk_1521717130518.jpeg



Ni kumiliki simu au line ya simu(sim card)
 
Hahaa... Wapi bro!!?

Naanzaje kumkula shunie akee ni porojo za humu tu itakuwa, japo sikumbuki km nishawahi kumtania kuwa nataka nimkule..
Shunie akee na mie tunajuana hapa hapa jf kwengine hatuna mawasiliano kabisa
Hata tungekuwa na mawasiliano kwangu ni km mdogo wangu/dada yangu
Naanzaje kumbinjua binjua shunie akee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]
Akikupa utakataa?
 
Back
Top Bottom