makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,553
Hata mie huwa naijengea picha km ilivyo[emoji23] [emoji23]
We nyama ww, utapofuka macho shauri yako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu weka picha
Haki ya nani vile(nalamba na mchanga)Mmh jamani ebu sema kweli
Obe huyo[emoji23] [emoji23]
Hapo ndio unapojua kuwa huwez kuwasha chain saw ukakatie mgomba au miwa..[emoji23] [emoji23] [emoji23]...nimekunywa mataputapu akili zimekuja nikagundua sijalipa imebidi kiingilishi kikate haraka sana maana unawezaje kumuambia mdai kwa kizungu kuwa utalipa kesho?
Ntakuletea shunie akee mie n wewe tena..Niletee jaman [emoji3][emoji3][emoji3]
Ukionana nae mwambie asitutenge nyumbani bhanaNdiwoooo shululu yupo sana jf kapotea kapuku tu
Ijumaa tu sio mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Surual za kina sunny deo, sunil shet na wenzao...lazima ulikuwaga dengilizi moja yenye vifungio vya chuma ha hahahhahaha acha kabisa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahahh
Kitakuwa kiwanda kompliti.Baada ya kuondoa kile kimashine
Hata mimi huwa naichukulia mfyuuu kama ilivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu huwa naitamka mfyuuu kama ilivyo
Huruhusiwi kabisa sababu haujatajwaMimi sijaona je naruhusiwa kunukuu?
Asantee maka ndio mana nakupendaNtakuletea shunie akee mie n wewe tena..
Siku nikiwa na safar ya huko ntakubebea mdogo wangu.
[emoji4][emoji4]Manta khofu
مانت خف
Ondoa shaka shunie akeee
Humu kapuku kupotea kwa zamu unafikili watu hawapo wapo majukwaa mengineUkionana nae mwambie asitutenge nyumbani bhana