mzee wa ujiji
Member
- Jun 19, 2013
- 78
- 30
Muuuuu
Kweli wala hawakukoseaSiku hiyo ndo nikipewa jina la iron lady
Basi hapo sawaHapana nimeamka niko safi kabisa na hapa nawajibika kutafuta mkwanja
KaribuAsante sana
Nitaivizia tena ya 32000Pole sana braza, jipange next time utapata tu.
Hahahaa...hata mm huwa simuelewagi ila nadhani itakuwa ni hii "word predict" ndo ina mtatiza
Hiyo tutasameheana mi pia naitaka![]()
![]()
![]()
punje ya haradari (imani to move mountains) Yesu alisema, so usicheze na hili jina..... naimani itakua yangu iyo
Nshaiona hiyo madam.Mkuu nakutafuta sana
Safi Mkuu, habari ya wewe lakini!powa nambie mkuu...
Ni njema braza, nambie!za mchana makapuku
Iko njema sana kaka, nambie.Njema chief, uko poa?
fresh braza, naona unawakilisha..Ni njema braza, nambie!
Mi siamini nafanya![]()
punje ya haradari (imani to move mountains) Yesu alisema, so usicheze na hili jina..... naimani itakua yangu iyo
Nimerudi sasa.Upo?
Mimi pia naitaka.Hiyo tutasameheana mi pia naitaka![]()
![]()
![]()
Habari yako brother.za mchana makapuku
Nicheki kwa Peter msechu plzMimi pia naitaka.