Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Hakika yeye ndio muweza wa yote.Tumshukuru Mungu.
Hakika yeye ndio muweza wa yote.Tumshukuru Mungu.
Ntajita idi mkuuUsipotee sana mkuu
Hahahaaa....Na mimi nimeligundua hilo, Anadai eti anakuaga doria Humu
Ndiye aliyefanikisha sisi kuwa hapa.Hakika yeye ndio muweza wa yote.
Mzima sanaAsante, mzma lakini?
Siku hiyo ndo nikipewa jina la iron ladymlitishaaa, ndo mana nikasema wewe ni mama wa mji huu
Hapana nimeamka niko safi kabisa na hapa nawajibika kutafuta mkwanja![]()
hujaamka nazo kweli
Asante sanaAkiwepo yeye hakuna kinachoharibika upande wa usalama
Pole sana braza, jipange next time utapata tu.![]()
![]()
yani nlikua naivizia kweli comment ya 31000 nimeikosa
Hahahaaa... Jamaa ni mtata sana.
amenNdiye aliyefanikisha sisi kuwa hapa.
Ukiniandika nipe na mgawo wa pesa.ok. ngoja nikuandike
NakubaliSisi wengine ni wateule...
Pamoja sana braza.amen
Morning madam.Morning all
weka no. za cm hapa ili upate gawiwo lako uliloingiza mwezi mzima tokea Makapuku Forum izaliweUkiniandika nipe na mgawo wa pesa.
Hahahahaaa...Smartphone ndio inakukontrol wewe unashindwa kuikontrol![]()
![]()
weka no. za cm hapa ili upate gawiwo lako uliloingiza mwezi mzima tokea Makapuku Forum izaliwe

hahaaaa utakua kijukuu chake mkuu hebu jaribu kufatiliaAhahaha...ninafananishwa sana na Benitto Mussolini