Njema chief, uko poa?Ni nzuri kaka, Habari, ya wewe!
Tatizo jana ilikuwa weekend sasa nilikuwa mimi plus![]()
hujaamka nazo kweliMwezi mmoja na 31k sio haba...wooow!! its a birthday to all Makapukuz Forum
![]()
![]()
![]()
![]()
kweli tumepiga hatua sanaaaa
asante sana mkuu...tuko pamoja sana.cc The name Bitoz Jimena Youngblood mussolin na wewe(yaani mie ninaesoma)
Akiwepo yeye hakuna kinachoharibika upande wa usalamaalaa...kumbe
Sisi wengine ni wateule...Mussolini ndo kacomment iyo ya 31000
Nimekubali mkuu, inajionyesha pia hata kwa user name yakoSisi wengine ni wateule...
Acha tu bhanaa majukum yana bhana mbayaaa uzuri sipotei kabisanipo bro daaah nimekumic saaana tatzo adimu sana
Nimefurahika kwa kuwa tupo pamojaAcha tu bhanaa majukum yana bhana mbayaaa uzuri sipotei kabisa
Hiyo ndiyo dawa yaoUnapita kushoto braza.
Asante, mzma lakini?Hongera kwa kutupia post ya 31k
hakika...mkuuAkiwepo yeye hakuna kinachoharibika upande wa usalama
Ahahaha...ninafananishwa sana na Benitto MussoliniNimekubali mkuu, inajionyesha pia hata kwa user name yako
Ndo kubwa yani mana ukipishana na mtu japo wiki ukimuona tena jambo jema kwa sasaNimefurahika kwa kuwa tupo pamoja
Mkuu upo mwenzio napotea potea bhanaa hem uwe una niwakisha nikipotea mana dah makapuku ni shidah nene tenaAsante, mzma lakini?
Ok bro la muimu Uzima ili tuendelee kuwa pamojaNdo kubwa yani mana ukipishana na mtu japo wiki ukimuona tena jambo jema kwa sasa
Usipotee sana mkuuMkuu upo mwenzio napotea potea bhanaa hem uwe una niwakisha nikipotea mana dah makapuku ni shidah nene tena