makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,464
- 108,573
Monika seka, jicho la kungu[emoji8] [emoji8]Muziki: Machi ya Kumatchisha
Umeamka na umekuwa na siku nzuri na sasa ni usiku. Hili halina ubishi na hata kama nimeanza kuandika bila kukupa Hi haimaanisha sitambui uwepo wako wewe kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. najua tunatembelea maeneo tofauti lakini mwisho wa siku wote tunakutana hapa na kugonga tano na kusmile, ndo zetu sisi watu wa kujitambua.
Muziki sasa, kesho ni Jumatano kama ulikuwa hujui nakukumbusha tu na wala usijipe kazi ya kuniambia asante kisa tu nimekukkumbusha kuhusu siku yako ya kesho.
Laki na nusu kisu kimoja, na yakutolea juu.He he naona hata da vinci kaiiba ebu niambie utanipa sh ngapi nijirecord nikutumie
Hahhahah maka bwana ebu acha kunitamanisha mieLaki na nusu kisu kimoja, na yakutolea juu.
[emoji23] [emoji23]Watu wanataka gigy money ye hatak[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa, ngoja niache kama lilivyoUnaruhusiwa kutafsiri
Koh koh kohWeee hilo zigooo languu kabisaaa yaaan ata usingiziniiii niko naloooo
Sawa mkuuSawa, ngoja niache kama lilivyo
OKSawa mkuu
ViwiliKijan upo?
Umejenga viwanda vingapi?
Kila kimoja kinatoa ajira ya watu wangapi?Viwili
Kimoja 5peoples kingine 7 people'sKila kimoja kinatoa ajira ya watu wangapi?
We dogo hujamboSalute
Sawa naomba kazi ya kusambaza bidhaa za viwanda vyakoKimoja 5peoples kingine 7 people's
Siijambo kakaa mkubwa...We dogo hujambo
Sawa bwana mdogo karibu maana siku hizi hatutafutani sijui tatizo nini?Siijambo kakaa mkubwa...
Ndio kwanza tumeanza na vyerehani vitano tuSawa naomba kazi ya kusambaza bidhaa za viwanda vyako
Siku hizi analewa urojoSawa bwana mdogo karibu maana siku hizi hatutafutani sijui tatizo nini?