makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,554
Umepata.Nipe wa Peruvian au brazillian hizo ndio nywele zinazouzika
Umepata.Nipe wa Peruvian au brazillian hizo ndio nywele zinazouzika
Mwenzio kwangu nishaagiza mbwa na bunduki, sitaki masihara kabisa na goli langu.Naweka walinzi aisee!no way
Ni kadochooooo..Khaaaaaaaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Shiiiii[emoji87] [emoji87] [emoji87] , vunga mwana[emoji23] [emoji23]
Mbona nipo humu dailyHahahaaa...
Msalimie mama D na Nyagei kaka.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nimeona mkia huoKwa avatar tu nimekuvulia kofia shemela
[emoji2] [emoji2] uza na avatarWacha wee, km mwali mwnyewe ni ww mie nauza shamba langu la urithi mie.
Koh koh kohAm in love with this pic wallahi[emoji8] [emoji8], nataman nikukuje nikulambe kuanzia nywele mpaka unyayo(na vyote vya kati kati)[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Heee... Mwenzangu, aku[emoji23] [emoji23]
Funga domo mwali.
Nimekumbuka story zenu za mapupuHivi nini kimemleta huku leo..
Au kule hakuna upupu leo? [emoji3][emoji3]
Dalili za kuwa zombieMzee baba...
Unywele wa shunie umeshtua kibamia chako ? [emoji3][emoji3]
Hebu nifundishe jinsi ya kuleft?Hahaaa...
Toka siku ile tunahimizana hapa twende huko !
Wewe ukaenda ukapotelea huko [emoji3][emoji6]...
Mimi nilileft mkuu..haikupita week
Naona unamsema mtaasisi kinamnaAisse...
Good..! Wasalimie ukipita kule..though kule hakuna salam kihivyoo..
Ni mwendo wa kushusha Nondo tuu..afu watu wanakula kimya kimyaa
nawatakia usiku mwema wanafamiliaAm in love with this pic wallahi[emoji8] [emoji8], nataman nikukuje nikulambe kuanzia nywele mpaka unyayo(na vyote vya kati kati)[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Na mwenye mandingo naye hujisema au?Mwenye kadogo anasema basi
Haradani [emoji777][emoji85] [emoji85] [emoji87]
Kwanini nisiseme, nasema sana, natamba na kidubwasha changu kidogo km punje ya haradani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hebu nifundishe jinsi ya kuleft?
Nyagei