Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
He he nacheka kisambaa nzeze
He he nacheka kisambaa nzeze
NdiwoooooNjoo nikunogeshe na peruvian hair.
Indian hair big noooLabda indian
Halaf nilichogundua T unapapenda sanaAisse...
Good..! Wasalimie ukipita kule..though kule hakuna salam kihivyoo..
Ni mwendo wa kushusha Nondo tuu..afu watu wanakula kimya kimyaa
Ee bhanaaaa! Basi umwambie tuu akija kucheza na kina Naveen .Atamfundisha mtoto wa nyoka ni nyoka
Ningekuwa kule kama napapenda.. [emoji41]Halaf nilichogundua T unapapenda sana
Siku hizi nimekuwa mvivu sana.Aisse...
Good..! Wasalimie ukipita kule..though kule hakuna salam kihivyoo..
Ni mwendo wa kushusha Nondo tuu..afu watu wanakula kimya kimyaa
[emoji85] [emoji85] [emoji87]Mwenye kadogo anasema basi
Shenzi taipu.. Kivuruge m1 weeeNimekuelewa mnoo nilikuwa nakuvuruga tu
Ntakupa na mtaji wa kuwauzia indian hair.Ndiwooooo
Hahahahhah yaan D namuona anarithi kila kitu cha baba akeEe bhanaaaa! Basi umwambie tuu akija kucheza na kina Naveen .
Kuwa Kina Naveen ni ndugu zake [emoji3][emoji3][emoji3]. Manake mapacha wangu ni vibonge.
Why!?Indian hair big nooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ee bhanaaaa! Basi umwambie tuu akija kucheza na kina Naveen .
Kuwa Kina Naveen ni ndugu zake [emoji3][emoji3][emoji3]. Manake mapacha wangu ni vibonge.
For sureNingekuwa kule kama napapenda.. [emoji41]
Unapapenda bana kila siku unaongelea mambo hizo hizo kilichokutoa kule utakuwa uvumilivu wako mdogo ukiona mambo za kuleNingekuwa kule kama napapenda.. [emoji41]
Tupe sababu.Halaf nilichogundua T unapapenda sana
MhSiku hizi nimekuwa mvivu sana.
Hawasemi wakina kokobanga[emoji85] [emoji85] [emoji87]
Kwanini nisiseme, nasema sana, natamba na kidubwasha changu kidogo km punje ya haradani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shenzi taipu.. Kivuruge m1 weee
Mfyuuuu zqko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unapapenda bana kila siku unaongelea mambo hizo hizo kilichokutoa kule utakuwa uvumilivu wako mdogo ukiona mambo za kule