Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Sio peruvianKitu Brazilian hair
Sio peruvianKitu Brazilian hair
Sio kusalimia, ndii numerudi nyumbani rasmi, km chumba changu mlipangisha, na kodi mmekula, mtafute pakumlaza mpangaji wenu[emoji23]Upupu haukosekaniki kule kaja kusalimia nyumbani
Hahahaha unazijua eenh hii brazillianSio peruvian
Kumejaaa utalala ulipokuwaSio kusalimia, ndii numerudi nyumbani rasmi, km chumba changu mlipangisha, na kodi mmekula, mtafute pakumlaza mpangaji wenu[emoji23]
Umeki"magnify" kibamia changu.[emoji1] [emoji1]Mzee baba...
Unywele wa shunie umeshtua kibao chako ? [emoji3][emoji3]
Hahaaa...Hata ww ndugu yangu unanichimba[emoji23] [emoji23]
Ndio anavyofundishwa huko anarukishwa vichura churaGood!
Akae na baba yake amafundishe umafia..!
Hakaonekani kadogo saana.[emoji23]Weka jamani ebu jiaminiiii
Hahaha....Ndio anavyofundishwa huko anarukishwa vichura chura
Hahaaa! Wala mkuuUmeki"magnify" kibamia changu.[emoji1] [emoji1]
Ww ndio hujanielewa,Vipiiiii umesema baridi nimejibu moto
Njoo nikunogeshe na peruvian hair.Kitu Brazilian hair
Shabashi... We ushawahi kuona chumba cha faza hausi kinapangishwa, mtalala banda la kuku leo[emoji23]Kumejaaa utalala ulipokuwa
Labda indianSio peruvian
Mie sikuingia siku ile ile, nilipitisha wiki km 3 hvHahaaa...
Toka siku ile tunahimizana hapa twende huko !
Wewe ukaenda ukapotelea huko [emoji3][emoji6]...
Mimi nilileft mkuu..haikupita week
Aisse...Mie sikuingia siku ile ile, nilipitisha wiki km 3 hv
Mwenye kadogo anasema basiHakaonekani kadogo saana.[emoji23]
Atamfundisha mtoto wa nyoka ni nyokaHahaha....
Ila sijui ndio atamfundisha na kupenda mabonge..?
Nimekuelewa mnoo nilikuwa nakuvuruga tuWw ndio hujanielewa,