Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Miss u zaidi shemela
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Miss u zaidi shemela
Hajambo ndugu yangu!?[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Yuko mzima hofu kwako[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hajambo ndugu yangu!?
Thanks ObeMuziki: Ukikunja Ngumi Hufikiri Sawasawa
...kufikiri ni mchakato/ process na si jambo linalohitaji nguvu ya mwili zaidi (physique-tamka fiz-eek) bali utambuzi, nguvu ya kuchambua mambo na zaidi nguvu ya akili timamu. Ninakusalimia Kapuku mwenzangu na kukwambia tu it is almost Furahiday.
Siku nyingi sijaandika mengi hapa, naweka muziki tu na kuacha muziki uongee, si unamkumbuka Hamza Kalala na kile kibwagizo chake cha eee mamama tunakula miziki' ndo nilikuwa nafanya. Na huu ulikuwa ni ushauri wa anko wangu Lyon Lee ambaye kwa kweli amekuwa kwenye wakati mgumu sana kipindi hiki maana ukiacha safari zake za kanda ya kaskazini bado hata huku JF alikuwa akipambana na waandamanaji waliojipanga kimkakati kukaa wanamsifia aunt yangu.
Muziki, niseme tu Makapuku forum ni sehemu nzuri kuwepo na ukisoma kipenegele hiki utajijua wewe ni mtu muhimu namna gani humu Jukwaani.
ConteBinamuuuuu nakusalimiaa katika jina la fatuma cheupeee
Hao watu ni wabaya sitaki kuwasikiaa ntakupigiaa binamuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...ha hahaha, nilimuona alipokuwa akitoa shoo baada ya kupiga Guinness Milk stout
![]()
Jirani niajeMwambajee, mwabesa besa au mwabesekewa??
My love Tumosa[emoji7] [emoji7] [emoji7] I miss u shemela
Tupo, si unajua weekend hii tunamalizia maliziaMmeenda wapi?
Watu wanakula bataa mzee babaTupo, si unajua weekend hii tunamalizia malizia
ComradeMwambajee, mwabesa besa au mwabesekewa??
Broohkuwa na namba ni muhimu, sasa hivi wakumbushe watupe na email itapendeza sana
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Mmeenda wapi?
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Conte
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji8] [emoji8]My love Tumosa
Poa jirani, niaje ndugu yangu?Jirani niaje