makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,552
Morng ndugu zanguni
Cr7 mnyama a.k.a roboti.CR7 ndio kanifanya nichelewe kulala
Nyagei
Special kutoka KGBBunduki gani hiyo? Ni kama ile ya kukata kona?
Nyagei
MashallahKwahiyo nikitoka kidogo tu nipo kule?
Nowadays nipo kwenye dini najifunza kusoma kisomo
Nyagei
Error or mistake!?Haradani [emoji777]
Haradali [emoji818]
Nyagei
Oya jamaa yangu ni vipi!?Asante mdau, kumekucha tayari, uwe na wakati mzuri leo na wiki yote hii
Mshikaji wetu ameshinda tenaSpecial kutoka KGB
Yule ashinde tu, akiingia raisi mpuuzi marekani na maswahiba zake watawachezea sana warusi.Mshikaji wetu ameshinda tena
Kidume hicho a.k.a nzee wa mambo yote.
Moneytalk mambo vipi?morning my people,nimewamiss sana jaman
uko poa hunieWe miss u too sweetheart
Na kwako pia mtaasisiAsante mdau, kumekucha tayari, uwe na wakati mzuri leo na wiki yote hii
poa wangu,vipi weyeMoneytalk mambo vipi?
Nyagei
Hiyo feki tu, ile ya pale mkwajuni ndio kibokoSpecial kutoka KGB