Fanya utafiti kwanza
Chama linakuwa ...wanaosepa ni wale MAMLUKI halafu kuna watu mwanzo walidengua sasa ndio wameona chama kubwa wameanza kuibuka
Kumbuka kuna watu wamefuata LIKES tu kinafiki
OKAY...
sasa nmeshakuja na suluhisho.
kutokana na hii mis-understanding iliyojitokeza hapa juu nmeona bora "tufunike kombe mwanaharamu apite"
kwa maana hata hawa waliokwaruzana tayari wameshayamaliza so AMANI NA ITAWALE