Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Wee acha ...Sanaaaaa....
Hakikisha hufwi na utamu wako
Wee acha ...Sanaaaaa....
Hakikisha hufwi na utamu wako
HahahaNakumbukia enzi zile ndie tumeanza kucheketuana..
Shukrani binamu ...Thanks aloutTafasiri Unavyoweza: Kunuka Sio Kuoza
Unakumbuka mambo ya kuchanganua sentensi kwa njia ya matawi na njia nyingine, muda umepita sana lakini kujikumbusha ya zamani si mbaya na hasa kama yanakuongezea maarifa. Unaweza kulichambua neno/kitenzi kunuka utakavyo na ndiyo maana hiki kipengele kipo hapa, unatafasiri unavyoweza, na si lazima wote tuwe na tafasiri moja juu ya jambo au kitu fulani. Wengine tafasiri hutegemeana na mazingira, tafasiri ya juzi si ya jana na haiwezi kuwa na ulazima kuwa hivyo hivyo kesho na kesho kutwa, tafasiri unavyoweza.
Wengi wetu ni watumiaji wa bidhaa tunazonunua madukani au magengeni, baadhi ya bidhaa hizi huwa zimeandikwa muda wa matumizi ambao kwetu tumeupa umaarufu wa expire date. Leo nitakufanya utafasiri tofauti kidogo na hata ukibaki na tafasiri yako sio mbaya maana ndiyo lengo la makala haya. Hivi unajua kuna tofauti ya sell-by, use-by, best-by na expire date? Yes, nimeandika haya maneno kwa kiinglish maana ndiyo huwa tunaona kwenye bidhaa nyingi tunazonunua.
Tumekuwa na kawaida ya kutupa bidhaa tulizonunua baada ya kuona tarehe kwenye bidhaa husika ikionesha muda wake umepita. Hii inaweza kuwa ni sawa na au isiwe sawa, nitafafanunua;
Tumia kabla ya- hii ni ilani inayoonesha mnunuzi anaweza kuupata ubora wa bidhaa aliyonunua kwa kiwango kizuri kabisa (freshness) na tarahe ikipita haimaanishi kuwa bidhaa hiyo imeharibika. Uza kabla ya- hapa mlengwa ni muuzaji, auze bidhaa hii na muda ukiisha aitoe kwenye makabati na wauzaji wengine hu-markdown- kuuza kwa punguzo bidhaa husika, bidhaa kama mayai, maziwa, maua, ni maarufu kwa hili. Ubora kabla ya- hapa bidhaa unayonunua inatajwa kuwa ni bora kwa kipindi kilichooneswhwa kwenye karatasi.
Usitupe tu bidhaa kisa umeona maneno hayo hapo juu, ila ukiona imeandikwa expire date- basi hiyo tupa. Harufu ya nguru haimaanishi kuoza bali ndo ubora wake. tafasiri Unavyoweza
Enzi zile bhnaaa...Hahaha

Kweli mkuuWee acha ...
YeahEnzi zile bhnaaa...
Hivi unakumbuka siku ile tunapigana kiss kwenye fence ya chain?
Umekaa upande wa pili wa fence na mimi niko upande mwingine...![]()
Do you remember?
Nakupenda wee mtuu...Yeah
I remember that love...
HahahaNakupenda wee mtuu...
Hivi unakumbuka siku ile nimenyeshewa na mvua !
Nikateleza kwenye mtelemko huko milimani (jina kapuni) nikiwa naleta mafuta yako ya nywele...
Kupenda kitu hatari sana...
Hahahaa...Hahaha
Aki uko na kumbukumbu mob Sana!! Kama hukuvunjika ile siku hutokaa uvunjike tena love!!!
HahahaHahahaa...
Unajua sijasahau kipindi kile uko kwa bibi yako huko kaskazini...
Kule hakuna netwek bhana, ila mtoto ukawa unapiga mguu na kilometre 12 kuja kutafuta netwek mjini ili uwasiliane na T..
Aki Mungu aendelee kukuweka tuu.
Afu kidudu mtu from no where kinakuja na kukuita mke wangu..Hahaha
Na wewe Mungu akutunze luv wangu!!
Nani tena kaniita mke aki!!!Afu kidudu mtu from no where kinakuja na kukuita mke wangu..
Nitapiga mtu pyuu pyuu mimi.
Hivi ile ATM card ya CRDB sikuiacha pale kwenye Droo la Kitanda ?Nani tena kaniita mke aki!!!
Huyo ni wakufyetua tuu hamna namna babe!!
Halafu mafuta za nywele zimeisha aki
Uliondoka nayo aki, au umesahau mara ya mwisho ulinambie nikuletee kwa gariHivi ile ATM card ya CRDB sikuiacha pale kwenye Droo la Kitanda ?
Afu kidudu mtu from no where kinakuja na kukuita mke wangu..
Nitapiga mtu pyuu pyuu mimi.
Nani tena kaniita mke aki!!!
Huyo ni wakufyetua tuu hamna namna babe!!
Halafu mafuta za nywele zimeisha aki





mbavu zangu mie woiiii
Hivi ile ATM card ya CRDB sikuiacha pale kwenye Droo la Kitanda ?
Kho kho khoUliondoka nayo aki, au umesahau mara ya mwisho ulinambie nikuletee kwa gari
HahahaKho kho kho
Hahahambavu zangu mie woiiii
Nimeanza nini mie mnanichesha tu shunie mmHahaha
Umeanza