Makapuku Forum

Binamu shikamoo naomba nyimbo ya dito nabembea
 
Marhaba aunt yangu, najiaminisha ulikuwa na wikend njema. Asante kwa kutouliza wikend yangu ilikuwaje.

Nyimbo hiyo itakujia baada ya kipengele cha muziki ambacho kinakuja ndani ya dakika kumi toka sasa
Binamu najua week end yako huwa inaisha vizuri sana na huku kwangu kwakweli mambo si mabaya

Asante binamu yangu kwa kusikiliza hitaji langu ndio mana nakupenda halaf vipi kuhusu korosho zangu jaman
 
Yaan usiache kumkula Dada angu yaan umkule we mkuleee tu akisema kachoka mwambie shunie kasema nikukule tuuu halaf vuta picha unakulana na mtu mnapendana woiiii
Mimi namkula tuu sasa hakuna namna.

Wacha tuu tulane aisee! Vitu vyenyewe tumepewa bure..! So sisi wawili tunavitumia tuu..ila ni sisi wawili tuu...

Ila leo utakuwa unakula heineken..! Sio kwa kushadadia hivyo.
 
Yaan tena hata vat havilipiwiii woiii kulaneni tu jaman daah huu mchezo mtamu sana
 
Binamu najua week end yako huwa inaisha vizuri sana na huku kwangu kwakweli mambo si mabaya

Asante binamu yangu kwa kusikiliza hitaji langu ndio mana nakupenda halaf vipi kuhusu korosho zangu jaman

...korosho nilileta nikamuonjesha mama mchuchu, hakuzipenda na nikajua nawe hutozipenda. Nikaziuza nikarudi Mtwara.
Jinunulie karanga kwanza, zisipokupalia then nijulishe nikuletee kiroba kizima
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…