Pole sana kijanaUjinga Na Ushamba Ni Kujiita Kapuku,aliyeanzisha Huu Uzi Hajielewi,,,,,hali Yakujiita Tu Kapuku Ni Tatizo Lakwanza Kujikomboa Kutoka Kwenye Ukapuku,,,ila Tutafika Tu Tunapoelekea!!
Huku njema kiongozi leo niko hapa kwa sugu citySalama kabisa mkuu, habari ya TDM
NilikwambiaaChikamoo wenyeji mi mgeni ila mkumbuke ni mgeni anae kuja kuomba msaada hajaja na zawadi
Uliniambia nini [emoji127] [emoji127] [emoji127] [emoji127]
Ngoja nirudi kule next one day...Sipo
Hahaha, deleted zoteNgoja nirudi kule next one day...
Nagonga like post zako zoteeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vipi weather hapo?Huku njema kiongozi leo niko hapa kwa sugu city
Urud homeUliniambia nini [emoji127] [emoji127] [emoji127] [emoji127]
Mm natamani nifike lakini vikwazo vingiNgoja nirudi kule next one day...
Nagonga like post zako zoteeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huku jua linakimbiza toka tumeanza mwezi huu ila leo naona mawingu kwa mbaliiVipi weather hapo?
Jeshi halijawahi kurudi nyuma akati maadui wanakimbiaUrud home
Baki huku hukuMm natamani nifike lakini vikwazo vingi
DuhHuku jua linakimbiza toka tumeanza mwezi huu ila leo naona mawingu kwa mbalii
HahahaJeshi halijawahi kurudi nyuma akati maadui wanakimbia
Labda nishindwe vita
Niambie kamanda wanasema nini hapo kwa mh.
Usicheke huyu hajui sheria ya vita kuwa hutakiwi kuwa mwogaHahaha
Tunasafiri kwa wasi wasi, maana risasi za hewani zinapata watuNiambie kamanda wanasema nini hapo kwa mh.
Ukiishiwa silaha unatafuta chimbo la muda ili ujipangeUsicheke huyu hajui sheria ya vita kuwa hutakiwi kuwa mwoga