Binamu ebu niambie wewe mwenyewe hataki kunijibu mana sielewi ni ngao ya kidonge au ya maji yaan
....nilijua watoto watasoma halafu waende wakawaambie watoto wenzao anko Obe kajamba, kwa vile umsema wewe basi mimi sijasema
MhTulia, mambo yanaenda na muda, dakika tatu kuanzia sasa kipenegele cha muziki kinakuja
Sawa binamu...hii aunt ndo ile ngao ya kwanza kabisa yaani ilitoka pamoja na tangazo la Ngetwa
Utamuekea na zile ndude
NimekuhamuSawa binamu
....hii ndo ngao halisi sasa kwa taarifa yako.
...hapa Cha muhimu ni kuvaa kanzu kama ya nabii Tito tu , unakuwa huna haja ya kuhofia kitambi na usifunge mkwiju
HahahaaaaNdio nimempa shikamoo aje ajionee
Me pia jirani yake dadaNimekuhamu
OukeyHalisi
....nilijua watoto watasoma halafu waende wakawaambie watoto wenzao anko Obe kajamba, kwa vile umsema wewe basi mimi sijasema
Akuuu...zile hazikosekana, nilikuwa na mpango wa kumtafutia used lakini nimeona mpya zitampendeza zaidi. Azichane mwenyewe kwenye railoni.
Na wewe unazipendaga?
Upo lakini! Dadako hajambo?Me pia jirani yake dada
Najionea mashkolo mageningao zinamchanganya Shunie
Niko poa wewe je, mzima sanaUpo lakini! Dadako hajambo?